Share

Hatimaye shoo ya Bobi kufanyika Uganda

Share This:

Msani mashuhuri na mwanasiasa Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine anafanya mazoezi kwa ajili ya tamasha lake la kwanza tangu alipojitosa katika uwanja wa siasa mwaka jana. Papo kwa Papo 09.11.2018

Leave a Comment