Share

HATUA ZITACHUKULIWA, KAMPUNI HEWA’- MKUU WA IDARA YA ARHI NA MALIASILI

Share This:

NI Sept 18,2019 Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili, Bw Mabula Isambula amezungumzia wawekezaji hewa waliojimilikisha shamba la wanakijiji

Kampuni ya Sunbiofuels inadaiwa kujimilikisha shamba lenye ukubwa wa Hekari 20,290 lililopita Vijiji 11 Kisarawe.

Leave a Comment