Share

‘Hatujaridhika na maamuzi ya mahakama’-Wakili wa Mbunge wa Kilombero

Share This:

January 11 2017 mbunge wa Kilombero Peter Lijualikani amehukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kukutwa na hatia ya kufanya fujo wakati wa uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2015.
millardayo.com imempata wakili wake Tadey Lister ambaye anatueleza hali ilivyokuwa.

Leave a Comment