Share

‘Hatukubali udhalilishaji unaofanywa kwa walimu”-Doto Biteko

Share This:

Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amesema haikubaliki hatua ya kuwavua madaraka wakuu wa shule kwa sababu ya kufeli kwa wanafunzi, amezitaja baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha wanafunzi kufeli ambazo Serikali ikiziangalia zitasaidia kuboresha viwango vya elimu nchini.

Leave a Comment