Share

Haya Si mawe bali ni watu waliokauka na kuwa mawe.

Share This:

Eneo hili linalojulikana Kama Namortung’a au “Mawe Watu” lilipewa jina hilo kutokana na hadithi au ngano za wakaazi wa jimbo la Turkana.

Inaaminika kwamba mawe haya awali yalikuwa wanakijiji ambao walikuwa wamekusanyika ili kutumbuizwa kwa densi na mgeni mmoja lakini waligeuka na kuwa mawe baada ya kumcheka.

Leave a Comment