Share

HEKAHEKA:Ushirikina wamuua kijana, mkewe ahamishia kesi kwa wakwe

Share This:

Kutokea Songea Msangano Geah Habib kainasa Hekaheka na kutusogezea kupitia Leo Tena ya Clouds FM leo October 12, 2017 ambapo baba na mama walifiwa na mtoto wao wa kiume na kudaiwa mke wa mtoto wao huyo marehemu kuwahusisha wazazi hao na kifo cha kijana wao kupitia nguvu za ushirikina jamo lililopelekea wanakijiji kutaka kuwauwa.

Leave a Comment