Share

Hifadhi ya wanyama walemavu Kitale

Share This:

Binadamu wanaoishi na ulemavu mara nyingi hupewa kipaombele katika masuala mengi ya kijamii. Ushawahi kufikiria jinsi wanyama walio na ulemavu wanavyoishi? Na je wanahaki ya kutunzwa vyema? Kutana na Boniface Ndura, mkurugenzi wa hifadhi ya wanyama ya Kitale anayeelezea jinsi anavyowahifadhi wanyama wa aina hiyo. Video imetengenezwa na David Kuria Mwangi. Kurunzi 9.8.2019

Leave a Comment