Share

Highlights za matokeo ya NBA pamoja na ratiba za michezo ijayo

Share This:

Katika mchezo wa pili Ukanda wa Western Conference Final, Warriors wamepoteza mchezo alfajiri ya leo dhidi ya Rockets na kupelekea kuwa na uwiano wa series 1 ya ushindi kila timu.

Ikiwa ni kati ya mechi nzuri kabisa za kutazama ukanda wa western Conference je katika mwendelezo wa michezo ijayo ikibakia michezo mitano nani ataweza kumgaragaza mwenzake mei 20 ? na vipi kuhusiana na Upande wa Eastern Conference kati ya Clevaland Cavaliers dhidi Boston Celtics mey 19 sa 3:00 alfajiri? Endelea kuifuatilia Bongo5 kuweza kuyapata matokeo halisi ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani (NBA).

Leave a Comment