Share

Hii ndio adhabu utakayopewa ukimuambukiza mtu ugonjwa kwa kusudi

Share This:

Leo July10,2018 tunayo story kutokea kwa Mwanasheria wa Kujitegeme Leornad Manyama ambapo anasema kwa mujibu wa sheria ni kosa la jinai kumuambukiza mtu mwingine ugonjwa na ukitiwa hatiani adhabu yake ni jela miaka 2.

Leave a Comment