Share

HII NOMA: Tazama Rais Magufuli akizindua kiwanda cha maji Dar

Share This:

Leo Alhamisi ya Mei 17, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) pamoja na viwanda vya maji na ushonaji vinavyomilikiwa na Suma JKT vilivyopo jijini Dar es Salaam

Leave a Comment