Share

Hili Jani binadamu akigusa anapata ugonjwa wa Pumu, mnyama akila anafariki

Share This:

Leo June 13, 2018  katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii yamefanyika maonyesho pamoja na ubunifu wa vitu mbalimbali na moja ya kitu ambacho AyoTV imekutana nacho ni pamoja na jani ambalo linaitwa Gugu karoti ambapo Bwana shamba kutoka shirika la ECHO, Charles Boniventure amesema mnyama kama ng’ombe akilila anafariki huku binadamu akiligusa anapata magonjwa mbalimbali ikiwemo pumu.

Leave a Comment