Share

Hili ndio chimbo jipya la kuzalisha vipaji vya Bongo Fleva

Share This:

Kutokana na studios za muziki nchini kuwa nyingi ambazo nyingine zinafahamika na zisizofahamika AYO TV imekutana na studio ya spice music ambayo ndio chimbo jipya la kukutanisha vipaji vya Bongo Fleva ambapo imefanya exclusive interview na Producer pamoja na Manager.

Leave a Comment