Share

Hillary Clinton ashauriwa kupinga matokeo ya uchaguzi

Share This:

Wataalamu wa sheria za uchaguzi na data za kompyuta wamshauri aliyekuwa mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton, kupinga matokeo ya uchaguzi wa Marekani wa Novemba 8, Uchaguzi wa wabunge unaendelea nchini Somalia huku kukiwa na madai ya ukiukaji wa taratibu za uchaguzi, na Serikali ya Colombia na waasi wa FARC leo wanasaini mkataba mpya wa amani. Papo kwa Papo 24.11.2016

Leave a Comment