Share

Historia ya Edward Sokoine: Waziri Mkuu aliyeacha alama katika uongozi wake

Share This:

Tarehe 12.04.1984, Taifa la Tanzania lilimpoteza kiongozi wake shupavu, aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine, kufuatia ajali ya gari eneo la WAMI-DAKAWA Kilomita 35 nje kidogo ya mji wa Morogoro. Waziri Mkuu huyu alikuwa akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam baada ya kufunga Kikao cha Bunge mjini Dodoma.

“Naoya Sakamata – Dissociation” is under a Creative Commos license (CC BY 3.0).
Music promoted by BreakingCopyright: http://bit.ly/2PjvKm7

Leave a Comment