Share

Hoteli ya kifahari kwa ajili ya Paka

Share This:

Tazama hoteli hii moja iliyoko mjini Kuala Lumpur Malaysia inayowahudumia paka tu. Inaitwa Catzonia, utapaswa kulipa dola za Marekani 5 hadi 6 ili paka wako alale hapo usiku mmoja. Papo kwa Papo 07.08.2018.

Leave a Comment