Share

Hotuba ya upinzani bungeni kuhusu kukua kwa deni la taifa

Share This:

Kambi ya upinzani bungeni kupitia kwa msemaji wake katika wizara ya fedha na mipango Halima Mdee imewasilisha maoni yake kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2016/2017 huku moja ya hoja ikiwa ni pamoja na ukuaji wa deni la taifa

Leave a Comment