Share

HUKUMU YATENGULIWA “WAKURUGENZI WAENDELEE KUSIMAMIA UCHAGUZI”

Share This:

Mahakama ya Rufani Tanzania imetengua uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania iliyobatilisha sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu.

Kutokana na hatua hiyo, kuanzia sasa Wakurugenzi wapo huru kusimamia uchaguzi.

Uamuzi wa Mahakama ya Rufani, umetolewa na Msajili Elizabeth Mkwizu baada ya Serikali kukata rufaa kupinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu juu ubatilisho wa sheria hiyo.

Leave a Comment