Share

Humphrey Polepole baada ya kukutana na Rais Magufuli

Share This:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli, December 20 2016 amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi watatu wa CCM aliowateua hivi karibuni kujaza nafasi wazi katika safu ya uongozi wa chama ngazi ya taifa.

Leave a Comment