Share

“Huwezi kukaa kwenye Jiji, halafu unakula kinyesi” RC Mongella

Share This:

RC Mwanza John Mongella ameongea na machinga wanaofanya biashara nje ya Soko Kuu la Mwanza, pamoja na kuhimiza kila mmoja ajitume kufanya kazi pia usafi uzingatiwe kwa kila mmoja sehemu yake ya biashara ili kuepuka ugonjwa wa Kipindupindu.

Leave a Comment