Share

Huyu hapa Man Fongo baada ya taarifa ya kuhukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji

Share This:

Baada ya taarifa kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba muimbaji wa muziki wa Singeli, Man Fongo kwamba amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji, Bongo5 imetua nyumbani kwa muimbaji huyo na kuzungumza naye mambo kadhaa kuhusiana na uvumi huyo.

Leave a Comment