Share

Huyu ndiye BINTI wa Papii Kocha, MASHALLAH!!!

Share This:

Kwa mara ya kwanza Papii Kocha amemuonyesha hadharani binti yake ambaye alimuacha akiwa na umri wa miaka minne pindi alipoenda jela.

Leave a Comment