Share

Ibrahimovic Apata Pigo

Share This:

Mshambuliaji wa timu ya Manchester United Zlatan Ibrahimovic huenda akakosa mechi zote zilizosalia kwa msimu huu mara baada ya kuumia kifundo cha mguu.

Leave a Comment