Share

Idadi ya vifo vya majeruhi wa ajali ya lori la mafuta yafikia 94.

Share This:

:Idadi ya vifo kutokana n ajali ya lori la mafuta lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro imeongezeka na kufikia 94 baada ya majeruhi mwingine mmoja kufariki

Leave a Comment