Share

Idadi ya waliofariki ajali ya moto yaongezeka baada ya majeruhi mmoja kufariki

Share This:

Idadi ya waliofariki dunia kutokana na ajali ya lori kupinduka na kuwaka moto Morogoro imefikia 76 baada ya majeruhi mmoja kufariki katika hospitali ya taifa Muhimbili na kubakiwa na majeruhi 38 kati yao 25 wanaweza kujieleza na 13 wapo chumba cha uangalizi maalum

Leave a Comment