Share

Idd Seif akumbuka safari ya Dira ya Dunia TV

Share This:

Idd Seif alikuwa mmoja wa waasisi wa meza ya michezo tangu Redio na baadaye alijiunga na kikosi cha TV na kushughulika na Michezo na pia alikuwa mtayarishaji mkuu wa Sanaa.

Leave a Comment