Share

“Ili tuwe salama lazima tuziache njia zetu mbaya” –Dr Tulia

Share This:

July 12, 2018 Naibu Spika Dr Tulia Ackson na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla waliungana na viongozi mbalimbali wa Dini, Machifu pamoja na Wananchi wa Mbeya katika maombi ya kuombea Mkoa huo ili kuunusuru na matukio ya ajali za barabarani ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara. Maombi hayo yalifanyika katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe.

Leave a Comment