Share

Ilichokibaini TACAIDS kwa Wanawake Vijana “Kupata maambukizi ya Ukimwi”

Share This:

Leo Aprili 15, 2019 Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imesema inatarajia kukutana na wadau wa masuala ya afya ikiwemo serikalini, sekta binafsi na asasi za kiraia kwa lengo la kuboresha mipango ya hafua kwa wasichana na vijana balehe.

Leave a Comment