Share

Ilipofikia ishu ya washereheshaji ‘Ma-MC’ kulipa kodi TRA

Share This:

Leo September 11 2017 Mamlaka ya mapato Tanzania ‘TRA’ wamekutana na chama cha washereheshaji ikiwajumuisha Ma-MC, wapishi kwa ajili ya kuwapa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya kodi.
Akizungumza baada ya Semina hiyo, Mkurugenzi wa elimu kwa mlipakodi, Richard Kayombo wamewaelekeza namna ambavyo wanatakiwa kulipa kodi na baadhi yao tayari wameshaanza kulipia.

Leave a Comment