Share

Ilivyokuwa Mahakamani katika kesi Lema na watuhumiwa 61 wa ugaidi

Share This:

Kesi ya watuhumiwa wa ugaidi Arusha imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi wa kesi kutokukamilika na kuahirishwa hadi February 27 mwaka huu ambapo itakuja kutajwa tena

Wakati huo huo Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema amekata Rufaa akidai Hakimu aliyekuwa akisikiliza kesi yake kushindwa kusimamia mwenendo wa kesi nakupinga kitendo cha Hakimu kuendelea kusikiliza kesi hiyo ili hali wameshakata Rufaa yakutotaka kuendelea naye ambapo kesi hiyo imeahirishwa hadi june 15 mwaka huu

Leave a Comment