Share

IMEPATIKANA: Sauti ya Polisi walipovamia mkutano shule ya Lucky Vicent

Share This:

Jana May 18 2017 Polisi walivamia Mkutano ulioongozwa na Meya wa Arusha, Shule binafsi za Arusha, Madiwani na viongozi wa dini wa kukabidhi rambirambi walizochanga kwa ajili ya kukabidhi mkono kwa mkono kwa zile familia zilizopatwa na msiba.

Sauti ya Polisi walivyoingia imerekodiwa kwa ufupi kwenye hii audio utaisikia.

Leave a Comment