Share

INASIKITISHA; Wabunge wa Chadema wazuiwa kuuliza maswali Bungeni kwa Waziri Mkuu

Share This:

Wabunge wawili wa Chadema wamezuia na Naibu Spika wa Bunge , Tulia Ackson kwa kile alichodai kuwa wameuliza maswali ya kisera , waliokataliwa kuuliza ni Mbunge wa Tuanduma, Frank Mwakajoka na Mbunge wa Babati, Pauline Gekul

Leave a Comment