Share

INAUMA: Mama wa AKWELINA amwaga machozi mbele ya Viongozi wa Serikali

Share This:

Mwili wa mwanafunzi wa chuo cha NIT, Akwilina Akwilini aliyeuawa kwa kupigwa risasi wiki iliyopita umewasili viwanja vya NIT kwaajili ya ibada ya kuagwa na baada ya hapo mwili utasafirishwa Rombo, Kilimanjaro kwaajili ya mazishi. Mhe Waziri wa Elimu, Professa Joyce Ndalichako, Mhe Nyika pamoja na viongozi wengine wa serikali wamehudhuria misa ya kuuaga mwili wa mwanafunzi huyo.

Leave a Comment