Share

India yaathiriwa na mafuriko

Share This:

Wakaazi wa jimbo la Bihar nchini India wameathiriwa vibaya na mafuriko yaliyotokana na mvua za masika. Familia zinakabiliwa na uhaba wa chakula na ukosefu wa huduma muhimu

Leave a Comment