Share

Inspector Haroun kumbe ni Baba Lao, afungua kampuni ya kuuza mafuta

Share This:

Msanii wa mkongwe wa muziki, Inspector Haroun amefunguka kuzungumzia kitu anachokifanya kwenye maisha yake nje na muziki na kumfanya asionekane akilalamika njaa kama baadhi ya wasanii wenzake.

Msanii huyo amedai kwa sasa ana miaka mitatu anafanya biashara ya mafuta ya kupitia ambapo anauza zaidi ya lita 1000 za matufa ya alizeti ambayo ameyapachina jina la Inspector Haroun SUNFLOWER OIL.

Leave a Comment