Share

Ishu ya vyakula kwenye maharusi, Waziri Ummy imempa tabu, atoa agizo

Share This:

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA na Wizara ya Afya, Kitengo cha Afya ya Mazingira, kuangalia ni Mamlaka ipi inajukumu la kutazama Vyakula vinavyoliwa kwenye maharusi hasa kwa Dar es Salaam, ili kulinda usalama wa mlaji.

“Chakula kinasafirishwa kutoka Mbezi zaidi ya masaa mawili, Kama Waziri wa Afya nina wajibu wa kuhakikisha Usalama wa Chakula ambacho watu wanakula” Waziri Afya.

Leave a Comment