Share

Israel na Islamic Jihad wapatana kusitisha mapigano

Share This:

Baada ya siku mbili za mapigano kati ya Israel na kundi la wanamgambo wa Islamic Jihad lenye makao katika Ukanda wa Gaza, makubaliano yamepatikana ya kusitisha uhasama. Hayo yamethibitishwa na kundi hilo ingawa Israel ilikuwa haijatamka chochote. Zaidi kuhusu hatua hiyo ni katika vidio hii. #Kurunzi

Leave a Comment