Share

Israel yaanza kuwarejesha wahamiaji kutoka Afrika

Share This:

Serikali ya Israel imeanza kutekeleza mpango wa kuwaondoa maelfu ya wahamiaji kutoka Afrika walioko nchini humo, hadi ifikapo mwezi April, huku ikitishia kuwakamata wale watakaobaki. Hatua hiyo imekosolewa na mashirika ya utetezi wa haki za binaadamu na kusema ni ukiukwaji wa haki za wahamiaji hao.

Leave a Comment