Share

ITV DAKIKA 45, 17 APRIL 2017

Share This:

3:05 USIKU Usikose kuangalia kipindi cha DAKIKA 45 leo mtangazaji wako Sam Mahela atakuwa na Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Dk. Anna Mghwira akielezea kiundani maendeleo ya uchumi wa viwanda nchini na kuteuliwa kwa Prof. Kitilla Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Leave a Comment