Share

Ivyone Chakachaka awataka wasanii wajitume wasisubiri kubebwa.

Share This:

GWIJI LA MUZIKI WA AFRIKA IVYONE CHAKACHAKA AMESIFU MUZIKI NA WANAMUZIKI WA TANZANIA NA KUWATAKA WASANII NCHINI KUJITUMA NA SIO KUSUBIRI KUBEBWA KUFANIKISHA MALENGO YAO.
#ITVTANZANIA
#ZANZIBAR

Leave a Comment