Share

Jafo awahakikishia fidia wakazi wa Temeke 0

Share This:

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tamisemi, Selemani Jaffo amesema atahakikisha wananchi wa Temeke wanaosubiri fidia kupisha mradi wa uboreshaji wa miji DMDP, wanapatiwa fidia zao kwa wakati.

Posted In:

Leave a Comment