Share

Jani ambalo ukiligusa unapata Pumu, mnyama akila anakufa “Limesambaa mikoa mitano”

Share This:

Jani aina ya Gugu Karoti ambalo inadaiwa binadamu akiligusa anapata pumu au mnyama akilila anakufa limeelezwa kusambaa katika mikoa mitano hapa nchi ambapo wananchi wametakiwa kuwa makini na jani hilo.

Leave a Comment