Share

Je, ni kweli jongoo bahari wanaongeza nguvu za kiume?

Share This:

‘Tondo ni chakula cha asili hapa Bagamoyo, zinaongeza nguvu na mahanjam ndani ya ndoa.
Hata mimi kama mama nikila napata msisimko.
Najiskia leo kazi ipo’

Je, ni kweli jongoo bahari wanaongeza nguvu za kiume?

#nguvuzakiume #tondo #bagamoyo #tanzania #konokono #suka #bbcswahili

Leave a Comment