Share

Je, ni kweli Rais Trump anamiliki Kitufe cha Nyuklia?

Share This:

Rais wa Marekani ameionya Korea Kaskazini kupitia Twitter kuwa ana kitufe kikubwa kuliko kile cha Kim Jong-un. Lakini vipimo kando, je kweli kuna kitufe kama hicho? Kutumia silaha ya nyuklia huhitaji njia ndefu ambayo si rahisi. Lakini labda cha kushangaza ni kuwa, inahitaji biskuti na mipira ya kandanda.

Leave a Comment