Share

Je ushawahi kusikia kuhusu kijiji cha sauti?

Share This:

Nchini India kuna kijiji kimoja ambapo mtoto ualizaliwa hupewa jina kwamtindo wa sauti. Ukisikika mlio wa sauti hiyo ndio yeye huitika. Fahamu zaidi ni namna gani sauti hizo hutumika.

Leave a Comment