Share

Je, Warohingya ni akina nani?

Share This:

Baada ya kuishi Myanmar kwa vizazi vingi, takriban watu elfu 300 wa jamii ya Rohingya wametorokea Bangladesh huku wakisimulia hadithi za ubakaji, mauaji na maboma yao kuchomwa. Lakini Warohingya ni akina nani? Wanasimulia wao wenyewe.

Leave a Comment