Share

Je watasakata soka Ulaya?

Share This:

Wanayo ndoto na hamu kuu ya kusakata soka barani Ulaya hasa wanapoona mechi za Ulaya na pia kuona watu wakielekea Ulaya, ila wasiyoyajua ni masaibu yanayowakumba baadhi punde wafikapo Ulaya. Likiwemo suala la mawakala walaghai. Hata hivyo swali kuu akilini mwao ni je watawahi kucheza kandanda Ulaya?

Leave a Comment