Share

Jeff Sessions ajiuzulu kuwa Mwanasheria mkuu wa Marekani

Share This:

Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amejiuzulu baada ya kuombwa kufanya hivyo na rais Donald Trump, hatua inayoibua maswali juu ya hatma ya uchunguzi wa madai ya Urusi kuingilia katika uchaguzi wa 2016.

Leave a Comment