Share

JESHI LA POLISI LAFUNGUKA POLISI KUMBAMBIKIZIA KESI YA MAUAJI MWANANCHI

Share This:

Jeshi la polisi Tanzania kupitia kwa msemaji wa jeshi hilo Ahmed Msangi leo mbele ya waaandishi wa habari ametoa taarifa kuwa walipata taarifa za malalamiko kutoka kwa mwananchi ikieleza kuhusu polisi mkoa wa Tabora kumbambikizia kesi ya mauaji ndugu Mussa Adam Sadick hivyo ofisi ya mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai, makao makuu ya jeshi la polisi tayari ilishatuma ofisa wake kwenda mkoani Tabora kushughilikia suala hilo

Leave a Comment