Share

Jeshi La Polisi Lapata Msaada Wa Vifaa Tiba

Share This:

Jeshi la polisi nchini limepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni mbilikwa ajili ya hospitali na vituo vya afya vinavyomilikiwa na jeshi hilo hapa nchini.

Leave a Comment