Share

Jeshi La Polisi Lapewa Siku Saba Kuwakamata Wezi Wa Vifaa Vya Magari

Share This:

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa muda wa siku saba kwa jeshi la polisi kuhakikisha linawashughulikia watu wanaojihusisha na wizi wa vifaa vya magari.

Leave a Comment